
π₯ investment tips π₯
Savings is a good thing, lakini kwa hii economy unaitaji cash flow fitie kwa investment kadhaa to meet your expenses na u_grow financially π―
π‘ Investment's both short-term na long-term can be your first steps to this great journey of financial freedom β£οΈ
π‘ Investment is anything that can generate income, ikuwe ni shamba umerent mahali unafanya ukulima kiasi , ama ukona shop mahali inarun, ama umeinvest more kwa biz yako kuincrease cash flow iyo ndio investment π―
π‘Ukicheki gap kwa markets , na ukona solution ni poa kuichangamkia, unaeza kuwa hauna dooh iyo time but unaeza chukua Kaloan, fill iyo gap acha cash flow inatoka kwa iyo investment yako mpya ilipe loan pole pole ,πͺ
π‘ Fikiria gap umecheki kwa mtaa yako na unadai kuichangamkia, tushow hapo kwa comment section, acha meshers wakuchanue how best to go about it πͺπͺ
