
iPhone users be like…Battery iko 20%, na already wameanza kutafuta socket kama bomb sniffers Ni kama power bank ni part of outfit nowadays mtu hawezi toka bila charger, cable na hopes! Na ukiona mtu anakataa ukitumia hotspot… just know battery iko 7% na ni sacrifice ya maisha.
Wacha niulize Initoke sasa😂 iPhone users, mnaishi aje na hii life ya ‘Charge anxiety’? Ama ni sisi Android users ndio hatujui premium stress?

0
0
0