
IRRIGATION METHODS Being in Kilimo for sometime now and kama kuna one thing yenye u'inflate cost ya farming in irrigation and the method unatumia. Kuna like 4 types of irrigation namely;
π§βπΎ Surface Irrigation; Hii una sare maji iji distribute by gravity commonly used kwa large community like kwa hood yangu under Chala Society Irrigation scheme.
π§βπΎ Sprinker; High pressured sprinklers ama rain guns. Hii nimeitumia small scale and challenge ni equipment's and power.
π§βπΎ Furrow; Channels za maji utumika ku carry maji hadi kwa mmea. Hii ndio imekuwa common and yenye mimi utumia. Challenge yake ukuwa water wastage and labor intensive.
π§βπΎDrip Irrgation; Hii ukuwa pipes ama dripline zenye u water near roots za mmea. Ndio ideal and nimekuwa na invest in juu ni very effective and once ume install ina cut down lots of costs. Estimated cost ya installation ni arround 125,000 per Acre and kama umeweka a good crop ni easy sana ku pay back hii cost.
Of the 4 ni gani ume try and ni gani imekuwa effective and kwa nini?
