
🤔Is Freelance Hairstyling a good Biz?
Kuanzisha Salon/Kinyozi ni Biz poa? You asked and we listened!
💪Mtu wetu Roy Kanyi is back kwa ground kutuchapia kama Biz ya Salon ni worth it!
💰From Capital, to skills, to challenges! Watch vile kulienda alafu tushow!
👇Ungependa tubonge kuhusu biz gani tena?

0
0
0