
Is how members? Mi naitwa @[Kennedy Joseph] kutoka #Mombasa na nimependezwa na hii kikundi sana. Jameni ila mie nahitaji usaidizi juu nimeishi for 2 years in #Depression nikijaribu kutafta kazi ya forklift. Jameni naipenda sana hii kazi lakini sipati.
Tafadhali naomba usaidizi kwa wana-MESH. Nisiaidieni na Connections.
0
0
0