Is it possible to start a business without capital?Kevo designer anatuchapia story yake vile alianza biashara bila pesa. Kwa maoni yako what's the most important thing wakati mtu ana plan kuanza biz? #ShujaazBiz #Lindafam