
Is technology making us less creative? 🤔
💡With this amazing technologies, unaeza feel tunafaa kukuwa more creative juu Saa hii ukona access ya tool kadhaa unaeza tumia ku_inspire art yako but it doesn't feel like so 💔, kuna wasee wanafeel tunalose creativity pole pole juu ya kutumia softwares sana.
❓do you think technology inakufanya ukuwe less creative? Ama inakupea new inspirations ku_express creativity yako ?
0
0
0