
Is this a way kurahisisha hawking?
Guys tebu lemme hear your take on the current trend ya hawkers recording their advertisements alafu they just play it hapo penye wanauzia stuff? Eg wenhine hutumia speakers ama pia mdomo.
"Socks na mbao karibu customer" "Lines za airtel karibu customer karibu customer" "Dawa ya kunguni, mende, songea customer" Kuona na kupima ni bure kubeba ndo pesa karibu customer Do you think its effective enough?
0
0
0