Is your business Seasonal or Part-time?
Kama biz yako iko na low na high seasons, hiyo biz ni seasonal kama biz ya ma-jackets au kama uko mashinani, expertise yako inahitajika tu wakati wa kuvuna au wakati wa kupanda(seasonal/ ya majira)
Wakati wa low seasons- sales ziko chini customers hawanunui sana na stock haisongi.
Wakati wa high season, demand iko juu, hadi huwezi keep-up, una end- up kuandika wafanyikazi extra.
Part-time work , on the other hand, ni kama uandike accountant ambaye atakuwa aki-file returns zako monthly, anaangalia NSSF ya wafanyikazi wako imelipwa kwa wakati mwafaka, afanye book-keeping, etc. So, anakuja kukiwa na need( once a week, or once a month au quarterly).
0
0
0