
Isipo jipa leo, ng'ang'ana kesho taa ziwake... Hapa njee nimeona mengi hizi masiku nimekuwa kimya.
Kupoteza dili za maana zina regesha mtu pabaya sana, ila kwa yote Tisa leo si jana vita tulizo pigana zina lipa na mdaa.
Losers are now winning. Morning my beautiful people ?
0
0
0