IT enthusiasts wenye wanadai kuelewa networking. You can become a network engineer ama ukuwe an ISP (Internet service provider). Niko na experience in network field na ninaweza bambika kufunza networking especially kama unafanya network certificate kama CCNA yenye itakuqualify kupata job ama kupata skills za networking. You can dm me for more. 🗼
0
0
0