
It has been a while since we last had our lessons,,,, Welcome back to Brian's Health corner ππππ₯π₯π
leo nadai tuchapiane kiasi about hii mboga huitwa #sagaa π€π€ did you know that pia huwa inaitwa #spider plant ππ
hii ni veges flani wasee wengi sana hupenda mostly ikiwa imechanganywa na maziwa ama cream ππhio huslap design moja noma sana,,, let's see what we benefit kwa kula hizi mboga 1.kwa lactating moms hizi mboga husaidia kuongeza uwezo wa kutoa maziwa mob for the baby πΌ 2.Iko na lots of vitamins A which are very beneficial for the skin smoothing and eyesight 3.Kuna ugonjwa flani huitwa #scurvy the more unadish hii veges unapunguza chances za kuwa affected by scurvy 4.hizi mboga pia ni muhimu sana kwa Wasee wa heart diseases,,,the more wanakula hizi veges ndio the more wanareduce hio situation ya heart diseases 5.Do you want natural minerals like Potassium and Calcium π€π€kula sagaa bila kupima π―
thanks for keeping it Brian's Health corner πππππ₯π let's connect pale kwa comment section πππ for more insights
