
it is big💪it is better 💯 na inababmba kuruka😅 Welcome to Brian's Health Corner 🍌 🍉 🍉 🍒 🍓 🥭 hii ni baze ya kuchapiana, kuchanuana na pia kujengana 💯 bila kupima 🍏so leo nadai kuchanua wale wasee wangu wapenzi wa chipo ama fries mtaani🤔 before ukule hizo fries make sure viazi zilikuwa freshy na pia in good condition 💯 pia hakikisha mafuta yalipika ilikuwa safi kuepuka ugonjwaa Na pia wasee wangu wa ndizi pale Brian's Health Corner 🍌 usikule ndizi tu juu imeiva angalia condition kwanza usijipee gharama hukuwa umepangia,,,,cheky hii article 👇

0
0
0