
It's 2pm as promised 🙌 na tuko ndani ya #MESHMentors 💯 na leo it's all about #Biz ya Kinyozi. Ungependa kujua nini kuhusu hii Biz?! Skia story ya @[Hamza Rajab] 🔥 Amekua kwa hii industry...atatuchapia story yake 👇 vile alianza na vile ame-grow biz yake 💯 Tupatane kwa comments!! #ThursdayVibes #UsAgainstThem
Host wetu kama kawaida @[Captain Ashok]
0
0
0