
It's a New week!
Tuchangamke wadau. By the way msee anaeza make how much daily selling #CHAPATIS?
Si lazima upike, hapa kuna ujanja.
Unaeza buy ready-cooked chapatis at ksh.10 kwa ile #kiosk iko mtaani then utafute place ya ku-supply kama kwa ofisi flani In a day tuseme you sell at least #50chapos @ksh.20 each you’ll be making a profit of ksh.500. (50*10)
Inaweza?
0
0
0