
⚡⚡It’s a SPECIAL Thursday #MESHmentors LIVE🎙️! Tunaendelea ku-grow⬆️ as a #Community, tumekua hot 🔥cake🎂 MESHers. Today #2PM🕑 tuko privileged kubonga na one of our 🆕MESHers - @[Frank Tricky] aka #MCA #Tricky. Si wote tunajua huyu boy ,tuskie vile #Journey yake imekua. Kwa panel tutakua na @[Irene kubi] , @[VOICE OF DAGO Youth group] (John Mwangi) na @[Kivaya | Josiah ☑️].
Kama kawa @[Captain Ashok] ndio #Host wetu. What an opportunity to #learn from the best – tujipange na maswali in advance.👌 👌 #sisiNiMESH
0
0
0