
It's a #Tujengane Tuesday,,,,,, Niaje Meshers wa nguvu 💪 kuna msee Wangu flani amehamia place iko near a police station 🤔🤔so alikuwa ananiuliza nimsaidie idea ya #biz gani anaweza anzisha around hizo area???
nyinyi kama experienced business minded people,,, huyu shujaa anaweza chapa hustle gani hapo🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️
#form ni kujengana 💯💯
0
0
0