
It's a very nice idea of course. Kile najaribu kwa biz tangy najaribu kufix new strategies kwa biz like kwa kinyozi hanging nimeweka Wi-Fi such that wasee mob wanakam Na kupromote biz yangu. Through that nime employ mayuts wenye n computer literate kutrain maboy ICT whereby nimeimprove sana ki profit making Na growth of my biz Niko Na wasee kumi wamepata job kwa biz yangu
0
0
0