
It's a Wednesday 💭💭 Welcome once again to Brian's Health Corner 🍓🍒🍍🥭🌽🍅
As usual ni responsibility yako kuweka body yako healthy and #clean 💯💯💯 Leo nadai kuchanua kiasi vile unaweza #safisha mwili yako ukitumia a very simple #homemade #smoothie 😋😋
utaneed kuwa na 1.Ndizi 🍌🍌 vipande 2 2.Maziwa fresh 🥛 ama maji glass moja 3.Blueberries 🫐🫐🫐 zile ripe 4.Spinach 🥬🥬 (optional) blend hio mixture into a fine solution then ukiwa na #icecubes cheza nazo 💯💯
with such a simple #smoothie utakuwa ushasafisha #internal body yako a big deal 🤝 Tupatane tena hapa kwa Brian's Health Corner 🍓🍒🍍 next Wednesday 🫵🫵

0
0
0