
it's a Wednesday ππ₯³ππ Welcome to Brian's Health corner ππππππ₯π₯π
leo tuchapiane kiasi about #mrenda,,,,did you know that the English name ya mrenda ni Jute mallowπ€π€π€hii veggie hukuwa na benefits kibaooo kwa body π but wasee wengi hawatambui,,cheky hapa πππ
- kwa madem wenye hukuwa na irregular menses,,, this is your veggie,,, husaidia kuweka balanced flow of your menses.
- Iko na fibre kibao sana yenye body yako inadai ndio ukuwe na a healthy stool.
- For a balanced ratio of your blood,,,kula hii mboga occasionally itaboost level ya damu kwa body,,,,,,for more and more insights on veggies and fruits,,, tupatane hapa every Wednesday πͺπ―
Remember kesho usikose kuattend session ya @[Team HealthX Africa] tulearn more about kula a healthy diet ππ meet you here soon guys πͺπͺ


0
0
0