
It's a Wednesday πππ welcome to Brian's Health Corner πππππ₯π leo kuna hii mboga flani inaitwa #cabbage π₯¬π₯¬,,,wasee wengi hawapendi hii veggie kwa niniπ€π€ #cool down relax and enjoy the #benefits of eating cabbage regularly π―π― 1.Cabbage hufanya skin yako kuwa succulent mbaya sana,,,hii ni because of the large amount of water it contains. 2.Cabbage huongeza maji kwa mwiliπ―π―that's why ukienda hosy utapata meals za wagonjwa lazima Cabo iko included. 3.Husafisha digestive system ya msee vinoma sana πͺ,,,ukisteam hii #mboga vifity itakusaidia kuosha system yako a big deal
For this and more,,,,keep it #Brian's Health Corner πππππ₯π tuzidi kujengana π―π―
and for those who wants to start biz,run biz or rather expand their biz,,,keep it coming pale kwa dm tuchanuane zaidi ππ
