
It' s a weekend already🎺🎺🎧leo lazima niwapee tip moja big sana ya kuspend hii weekend pale kwa hustle yako na pia how to increase sales zako,,,,,👇👇👇👇
- Compare records za last week na this week
- Ni item gani imekuwa ikimove sana hii wiki
- Item gani zimeuliziwa sana but hukuwa nayo Ukishajua,,,,hii itakusaidia over the weekend kujua vile utaingia next week na stock mpya #tujengane 👊🏿👊🏿
0
0
0