
It's about that time! 💥We are Live 🎥 As promised, leo tuko na @[Serah Jabal] na @[Joanne Owuor] 😎. Wako na experience kibao kwa teaching industry na #Biz Listen to their #Business journey, share tips zako kwa comments pia 💯 . Unaeza #Learn #Tips kadhaa, as usual form ni #Kujengana.💪🏿 Ama vipi?!
Take us away @[Captain Ashok] 🔥🔥
#ThursdayLive #SisiNiMESH #Biz
0
0
0