It's only one week a month of June ends, ukiangalia profit/loss ume make pale kwa hustle yako inakufunza Nini. What's its ratio compared to your monthly income. Jiulize: Nini naweza fanya tofauti July? Hapo ndipo growth huanza