
It's so easy 1.Atafute plug wa njugu,profit margin iko juu 2.Aongeze mayai boil pia,can source for 10/- sell at 30/- iwe na kachumbari,for nyanya atatumia nyanya bondeka which are cheaper 3.Aongeze tropical mints pia,sell 3 pieces at 10/- 4.Akuwe na power bank that can charge at least 3 phones,kuboost ni 10/- 5.Atumie Loop for business,wasee wanaeza mtumia pesa plus ya kutoa na anawapea cash,izo za kutoa ni faida tupu 6.On Loop she can still sell airtime
Hapa atakafunga 6.
0
0
0