
It's so unfortunate that maandamano has affected us adi kwa biz zetu, but nko na idea Moto hapa , even if umefunga biz to avoid losses za kuibiwa, switch to online marketing ya products zako to create more awareness on all social platforms as we wait normalcy to return,try it unaeza pata orders kadhaa of what you sell #SisiNiMESH
0
0
0