
⏩ It's that time of the week 🔥🔥
Another Wednesday na tuko live na #MESHMarketDay 🛒 Share kwa comments na community #Biz unafanya na pia skills na interests zako & your next customer, supplier, client au pia employer anaweza kua hapa💯 Even better, hii ni opportunity ya ku-build networks zako na like-minded MESHers.
As always, form ni #Kujengana 💪🏿
0
0
0