
It's the new Gold kwa kitchen: SUKARI. How are the prices at your local vendors? Kwa hood yangu bei iko hiviiiii;
š§ Nutrameal 1kg 229 š§ Ndiwa 1Kg 210 š§ Kapima Local 1kg 215 š§ Kabras 1kg 210 š§ Mumius 1Kg 216 š§ Kakira Brown 1Kg 227 š§ Clovers Molasses Brown 1kg 222
Je hizi zina compare aje na huko kwenyu?š Your Favorite ?

0
0
0