
π Itβs TIME!! π Tuko LIVE as promised na discussion ya leo ni Community Development π MESHers wenzetu @[Fiona Keya] @[lily Sheba] na @[VOICE OF DAGO Youth group] (Represented by John Mwangi) wanatujenga na free TIPS vile unaezajenga #Community na #Biz yako. Key Tips zitakua β¬οΈ
-Vile ni muhimu ku-champion for youth rights -Challenges wamepitia wakifanya kazi za #CommunityDevelopment -Vile wana-balance between #CommunityVolunteer work na #Biz -Vile MESH imewajenga!
Tune in, react, comment na share ideas zako na sisi. Most importantly #Connect na #MESHers wa nguvu, tuendelee kujengana!! Host wetu @[Captain Ashok]
0
0
0