
πIt's time! β° Tume-come na ubaya this Thursday! We are live na #MESHers wa nguvu sana; @[Frank Tricky] aka MCA Tricky, @[VOICE OF DAGO Youth group] aka MC John Mwangi, @[Kivaya | Josiah βοΈ] na @[Irene kubi] in the building! Wanatuchapia vile hii #Community yetu imewajenga so far. Tunajiamini! MESH ni place ya opportunities kibao, connections na ideas za kujijenga ππΏ Join the conversation, comment, react and share widely π―
Na host of the day, of course @[Captain Ashok]
#MESHKonnect #SisiNiMESH #Tujijenge
0
0
0