Itabidi tukae rada ya #MESH, wako na gigs moto yaani.... Juzi niliangukia credo ya 100/- Leo naskia kuna gig ilitu passby... Most of us hatukua aware of the gig until it endded