
It's another Friday, wasee!
Sherehe ya jioni moja isifanye ukunywe bidii yako ya wiki mzima! Tulikuwa na dere flani huko Mlolongo, mchinku akitulipa bonus, hutamwona mpaka ile siku chapaa itaisha๐ ๐!
Kuwa smart, weka dooh kwa a form of fixed Savings. Madem, don't impulse buy ๐๏ธ, usiitie ma-boy wako drinks ๐บ๐ป, hii economy haituruhusu jameni.
Kumbuka, a fool and his money ๐ต are soon parted!

0
0
0