Its depressing to see many young Kenyans in despair. Najua WaKenya wanakuanga watu wa bidii, lakini maisha inakaa nikama inapita ma youth.
Mimi nikona experience kidogo and I will be happy to share with other Meshers....lazima tuinuane juu!
0