It's the season ya wazazi ya kuhangaika na kuzunguka wakitafuta uniforms , stationery 🖊️, books 📚 na school fees.
Share the cheapest plugs for these accessories. Huku Nairobi, Juja, Kiambu, Thika na major towns ambapo mko located.
Tusaidie wazazi bana 😩.
0
0
0