
🙌Iz vipi? Jenga Na Deloitte 1st Session imehappen leo!
💪Big up sana, wasee walitokea online.
📗 Topic ilikua Market Research, na Agatha alitushow info muhimu sana!
Kama ulihata usi worry, updates zitakam thru.
👇Tushow feedback yako hapa, ndio next session ikue even better!
https://docs.google.com/for...
0
0
0