
Izi viatu kuna type mbili Kuna za 170 na 370 bei ya wholesale Za 170 unauza 400 faida unapata 230 per pair
Za 370 unauza Kati ya 600 na 800 Ukiuza at average price ya 650 unapata 280 per Weekly ata uuze viatu 15 utapata faida ya 3450 kwa izo viatu za 170 na 4200 kwa izo viatu za 370 #tujengane

0
0
0