
Izz Vipi kamjesh yangu ya Mesh kama kawa leo nataka tuchangamkie youths wote wenye wanadai kuset up biashara lakini are wondering ni biz gani fiti kuset up... #Kibanda ni biz poa sana kuanzisha especially vile kunanyesha since your goodies zitakuwa mingi kwa market na hiyo advantage inaweza kuokolea mpaka in future... comments section nakuchapia aje na factors to consider.. tupatane 👇

0
0
0