
J-LINK CYBER CAFE, EMALI "Business yangu ni ya Cyber, kutengeza web apps, WiFi installations and computers repairs/services. On my side business imekuwa affected saana na Corona. Tho side kama WiFi saa hizi ndio ina okolea sana juu watu wengi Wana work from home, so kwa hii side ndio at least naeza sema biz sio mbaya, but kwa hapa shop iko down sana. So Gava I check story za access to facilities and ifanye easy kwa ma youths wote"
0
0
0