
Jacob ni MESher wa nguvu sana! 💪🏿 Currently ako na gamming shop 🎮 mtaani. So far, biz iko poa lakini very soon anadia kuchukua Bank Loan yak u-expand hustle yake.💰 Skia tips zake za kuchukua loan fiti kama umejipanga! Everyday is a learning day! Unaeza chapia Jacob nini kuhusu story ya loans? 🤔 #SisiNiMESH #BizSkills2022
#SisiNiMESH #BizSkills2022 🚀
0
0
0