Jambo Meshers. Mimi ni myuth kama wengi hapa na hustle yangu ni kusupply stuff kutoka Turkey. Niko na mzigo ya stuff za hardware. ●Hinges ●Locks ●latches
Kama kuna msee yuko fiti sales ana connections kwa watu wa hardwares, anichoree tuchape biz.




0
0
0