James ako na shop kali sana ya kuuza vitu za madem. James pia ameweza kuongeza equity na coop agent kwa shop yake. Find out how he gets the cash to expand his business. #ShujaazBiz