Jana I met a youth mwenye alikuwa amefungua biz ya ice cream but akafunga due to the climate change yenye ilifanya sales zikuwe chini
Ni Biz gani mtu wa ice cream anaweza ongeza kwa biz yake to boost sales zake time ya cold season?

0