Jana I was having a conversation na Bois beste yangu ambaye ni plug wangu wa viatu. Alinishow pale Gikosh ukijituma mapema vinzuri unawahi viatu safi kwa bei as little as ksh 500 na ucome kuuza hata ksh 2k ! But noma ni kuzipata si rahisi na zingine ni chafu hata huwezi imagine kama zitakuwa presentable. Comrades have you ever been in Gikomba and how was the experience 🤔
0
0
0