logo

JANA ILIKUWA SIKU MREFU, I TRIED TO TRUST MY INSTINCT AND COOKED A MIX YA SUKUMA WIKI NA NYAMA. SO I DONT KNOW WHAT HAPPENED but I GUESS SIKUJUA WHEN TO MIX SUKUMA WIKI. SO I ENDED UP WITH NYAMA INAJIVUKA KAMA BALL GUM NA A VERY TENDER SUKUMA WIKI.... OKOENI JAHAZI, I WANNA TRY IT AGAIN BUT THIS TIME NIKIWA SURE... NAFAA KUWEKA SUKUMA AFTER KUPIKA NYAMA FOR HOW LONG???? 😥😥😩😩 #TUJENGANE #KITCHEN

ThumbnailThumbnailThumbnailThumbnail

Comments