
Jana nikiwa shop nilifanyiwa ile kitu 😢😢😂 So Jana a customer came and bought braids worth 7500, so time ya payment the guy showed me then I didn't check on my side to confirm I just assumed 🥲 uweeh kumbe this guys Wana edit hizi mpesa messages 😢😢 Stay alert scammers sikuhizi wako everywhere Share experience yako yenye umewai oshwa nayo ufunzwe nayo wasee kwa comment section
0
0
0