Jana nilibishana na neighbour wangu story na savings. Nataka opinion yenu fellow MESHers, Kati ya maboy na madem, nani hu-save doh vizuri sana sana?? 😅😅 #Savings #ShujaazBiz