Jana nilienda Memorial fulani, ilikuwa well-attended, wasee walikuwa wamejaa kupeana their final tributes kwa marehemu.
Kulikuwa na jamaa mmoja anapin watu picha ya maraehemu kila walipoingia kwa gate. Na kila msee alikuwa ana-chargiwa 50 bob.
Let's do the math, 50*1200=60,000 kes(Total Revenue)
10*1200=12,000 kes (Total cost ya kutengeneza hizo picha)
Faida yake=60,000-12,000=48,000 kes!!!
When asked kama hizo pesa zinachangia contributions za funeral. He simply said,
''No, mimi niko mboka, madam.'' 😂
There you have it, opportunity za ku-make dooh ziko kila kona, fungua tu macho utaziona😜😅🤣
0
0
0