
Jana nimefika gikosh kubuy viatu, waaah 😅😅😅 ilibidi nirudi na pesa zangu, juu bei nilikua naambiwa kwa hiyo section ya viatu ata imepita prices ya viatu mpya. Sijui nitajuaje bei ya huko vizuri ebu nipigeni na hizo matips, yaani naambiwa kiatu second hand 2500ksh 😅
0
0
0