January iko karibu na comrades wengi tunatafuta new opportunities. Kwa bosses: kama unataka best talent, š lipa watu kulingana na value yao, si desperation ya January. Respect na fair pay hu-build team poa. šŖ Good luck to any comrade who will be on job hunting, itajipa wakuu
0
0
0