
Japan kuna kazi ya kuskiza mashida za watu. Ukidai huyo mse aende nature walk na wewe, akoready, in other words, unakuwa na emotions supporter for a day, na hiyo gig ni around 65$ per day, nikifikiri. German pia kuna area yenye mse akiwa na stress ama anafeel kuua mtu anaenda kuua maglass na mascream kiurelieve negative feelings. Biz kama bizi mtu akidai kuanza inaweza taka capital.ya how much na charges inaweza paswa kuwa ngapi per day/ hour/ head juu tena watu wanaweza dai such services ni wenye wanahustle na ni wengi?
0
0
0